KUAZIMU MOYONI DANIELI 1:8 Katika kitabu cha Danieli katika Biblia, tunasoma jinsi Danieli na wenzake walikataa kula chakula cha mfalme Nebukadreza. Walifanya hivyo kwa sababu walitaka kushikamana na Sheria ya Mungu, na kujitenga na unajisi ambayo ilikuwa inaweka masharti ya chakula. Kulingana na Danieli 1:5-8, Nebukadreza alikuwa ameamuru kuwa watu waliochaguliwa kutoka kati ya wana wa Israeli walelewe na kuletwa kwenye jumba lake la kifalme. Mpango huo ulihusisha kuwapa chakula na divai kutoka kwenye meza ya mfalme mwenyewe. Hata hivyo, chakula hicho kilikuwa ni kinyume na Sheria ya Kiyahudi, kwani kilikuwa kimeandaliwa kwa namna ambayo haikufuata kanuni za kisheria. Danieli alikuwa mshikamanifu kwa Mungu na alijuwa Mungu ataka nini na kujitolea kwa sheria zake. Alihofia kwamba kula chakula hicho kingekuwa uvunjaji wa amri za Mungu na kujichafua Kwa hiyo, aliamua jaribio la kula chakula cha mboga na kunywa maji badala ya kula chakula kilichopangwa na mfalme. Jaribi...
Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.